Halmshauri ya Mji Newala inapenda kuutaarifu umma kuwa imehairisha usaili wa nafasi ya kazi mtendaji wa Kijiji III iliyopangwa kufanyika tarehe 30/03/2020 kufuatia agizo la serikali la marufuku ya mikusanyiko hivyo usaili huo utafanyika wakati mwingine itakapotolewa taarifa.
bonyeza maandishi ya bluu kuona tangazo lenyewe
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa