Haya hapa majina ya watumishi wa umma walioteuliwa kuandikisha wapiga kura halmashauri ya mji Newala bonyeza maandishi ya blue hapo chini
New Doc 2019-10-02 08.51.28.pdf
Kwa waliochaguliwa
1. Wanatakiwa wafike ukumbi wa Newala Day Secondary Jumapili tarehe 6/10/2019 saa 3:00 Asubuhi.
2. Watapewa barua zao za uteuzi na kupewa mafunzo.
3. Wataapishwa siku hiyo kwa ajili ya kuifanya kazi.
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa