Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anawatangazia waombaji wa nafasi ya Mtendaji wa kijiji kuwa usaili utafnyika Alhamis Tarehe 01/07/2021, usaili utaanza saa 1:00 asubuhi katika ukumbu wa mikutano wa Halmashauri. Kwa maelezo zaidi na majina ya walioitwa bonyeza hapo chini kuona.
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa