Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anawatangazia waombaji wa nafasi ya mtendaji wa kijiji kuwa usaili utafanyika tarehe 03/08/2020 katika ukumbi ya halmashauri Newala mjini. Kuyaona majina ya walioitwa na kupata maelezo zaidi bonyeza maaandishi ya bluu hapo chini.
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa