Saturday 20th, April 2024
@Uwanja Wa Sabasaba
Mhe. Waziri Mkuu atakuwa na ziara katika Halmashauri ya Mji Newala siku ya Jumanne tarehe 27/02/2018.
Mhe. Waziri Mkuu atatembelea miradi ifuatayo iliyopo Katika Halmashauri Ya Mji
1: Ujenzi wa ofisi ya Halmashauri ya Mji Newala pamoja na Nyumba ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala
2:Kiwanda cha Agro Focus Kilichopo Mtagalanga
3: Shule ya Secondari Kiuta
Baada ya kutembelea miradi ataongea na wananchi wa Halmashauri ya Mji Newala katika Uwanja wa Sabasaba Mjini Newala
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa