• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Newala Town Council
Newala Town Council

Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi, Maliasili na Mipango Miji
      • Kazi
      • Usafi na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Video
    • Maktaba ya picha

Afisa Kilimo Newala Mji awasisitiza wakulima kuongeza juhudi kilo cha umwagiliaji

Posted on: June 15th, 2020

Wakulima Nchini wametakiwa kutambua wanao mchango mkubwa wa kuchangia pato la Taifa kupitia shughuli zao za kilimo hivyo ni huhimu kushikamana na kuungana katika kufanikisha malengo ya Taifa na kuinua uchumi wao.

Hayo yameelezwa siku ya Jumamosi June 13, 2020 na Afisa Kilimo wa halmashauri ya mji Newala Calistus Komba katika kikao cha pamoja cha wakulima wa skimu za umwagiliaji Chikwedu Chipamanda  Newala na Lipalwe wilayani Tandahimba cha kujadili ushirikiano wa kufanyakazi pamoja katika skimu hizo zilizo eneo moja. 

Komba amewapongeza wakulima hao kwa hatua hiyo nakuitaja kuwa ni hatua ya mafanikio na ni vema waelewe mchango wa wakulima ni mkubwa kwa taifa na ndio maana serikali iliamua kufanya uwekezaji wa kujenga miundombinu ya umwagiliaji ili kuwawezesha wakulima kufanya shughuli zao pasipo kutegemea msimu wa masika.

Akizungumza Katibu wa muda wa muungano huo ambaye pia ni Katibu wa skimu ya Chikwedu Chipamanda Bw. Juma Mnoji amesema muungano huo umelenga kuyanusuru maeneo ambayo hayatumiki na kwa kuwa wapo watu amabao hawana maeneo na wapo tayari kufanya shughuli za kilimo nao waweze kupatiwa maeneo ili kila mmoja naufaike tofauti na ilivyo hivi sasa watu wanayashikilia maeneo ambayo hawayatumii. 

Naye Mwenyekiti wa kikao hicho Bw. Mnyunda Halfani ameiomba serikali kuwapa ushirikiano  ili malengo yafikiwe kwa kuwa wapo wakilima wanaokiuka makubaliano kwa makusudi huku Afisa Mtendaji wa kijiji cha Lipalwe B, Bw. Juma Mnyenje akiwata wafugaji wa ng’ombe kuzuia mifugo yao isiaribu barabara zilizopo na mazao ya wakulima ili kuepusha migororo isiyo ya lazima ukizingatia kazi ya kilimo ni ngumu na inatumia muda mwingi katika maandalizi. 

Baadhi ya wajumbe waliohudhuria kikao hicho Bw. Hafidhi Matola, Juma Omari, Bi. Sofia Kahango na Zena Kaisi Baraka wamesema wapo tayari kushirikiana kwa nguvu kufanyakazi na kuilinda miundo mbinu kwa kuwa hata sasa wanapata faida kubwa huku wakiwataka wanawake kutokua nyuma katika shughuli hiyo.


 

Matangazo

  • TANGAZO NAFASI YA AJIRA MTENDAJI WA KIJIJI January 25, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III April 14, 2023
  • WITO WA MAFUNZO YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA BVR OPERATORS JIMBO LA NEWALA January 21, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUWA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA BVR OPERATORS JIMBO LA NEWALA MJINI January 14, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • WANAUME WAMETAKIWA KUJITOKEZA KUSHIRIKI MASUALA YA AFYA NA LISHE YA MTOTO

    July 02, 2025
  • HOSPITALI YA WILAYA YA NEWALA IMEANZA KUTOA MATIBABU YA VIUNGO KWA NJIA YA MAZOEZI

    July 01, 2025
  • Bilioni 21.5 baji ya Mji Newala 2023/2024

    August 04, 2023
  • Tupo nanenane kutoa elimu kwa wananchi itakayobadilisha mitazamo yao kwenye kilimo.

    August 02, 2023
  • Tazama zote

Video

Video nyingine

Kurasa za Haraka

  • Sanitation day
  • Tender
  • Uhuru torch

Kurasa Mashuhuri

  • Higher Education Students' Loans Board
  • National Examinations Council of Tanzania
  • Tanzania National Electoral Commission
  • PSPF Pension Fund
  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration and Local Government

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Newala-Mtwara

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 39

    Simu: (+255) 023 2935398

    Mobile: PS (0684439199)

    Barua pepe: info@newalatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Disclaimer
    • Sera ya Faragha
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya eneo la tukio
    • Huduma

Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa