• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Newala Town Council
Newala Town Council

Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi, Maliasili na Mipango Miji
      • Kazi
      • Usafi na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Video
    • Maktaba ya picha

Wasifu

Ndg Andrew F. Mgaya
Mkurugenzi

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala  12-07-2016 mpaka sasa.

Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala Ndg. Andrew Frank Mgaya  alizaliwa Agosti 15, 1978 katika Wilaya ya Ludewa Mkoani Njombe.

Historia ya Utendaji Kazi

Mwaka 2007 mpaka 2010 Ndg. Mgaya alifanya kazi kama Business Development Manager at TOHS. Mwaka 2010 hadi 2012 alifanyakazi kama Deputy Director Planning and Finance at St. Johns University (St. Marks centre). From 2012 to 2013 he worked as a Quality Assurance Services Manager at TPSC.

Mwaka 2013, alifanya kazi kama Meneja wa Programu katika Chuo cha Utumishi wa umma Dar es salaam na mwaka 2014 aliteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Chuo cha Utumishi wa umma tawi la Dar es salaam. Aliendelea kushika Wadhifa huo mpaka alipoteuliwa kuwa Mkurugenzi wa Mji Newala mwaka 2016.

Historia Kielimu

  • MA - Taxation - Mahneim University in Germany
  • MBA - Corporate Financial Management - Mzumbe University
  • Diploma ya Juu ya Uhasibu - kutoka Chuo cha IFM
  • BA - Commerce & Accounting - Chuo Kikuu cha Dar es salaam
  • Certified Financial Management analysis and Governance - Institute of Public Administration of Canada
  • Proficience for Human Resource Management - Tanzania Public Service College

Matangazo

  • MATOKEO YA MTIHANI WA DARASA LA SABA (PSLE) 2020 November 22, 2020
  • USAILI MTENDAJI WA KIJIJI July 24, 2020
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI ZA MUDA April 22, 2020
  • TANGAZO NAFASI 1 YA KAZI MTENDAJI WA KIJIJI III LINARUDIWA July 10, 2020
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • RAS MTWARA: Madiwani halmashauri ya Mji Newala wasilisheni hoja za wananchi

    December 04, 2020
  • Kamati ya lishe mnalo jukumu kubwa la kuisaidia jamii kuhusu lishe

    July 24, 2020
  • Halmashauri ya mji Newala yapenga matundu 240 ya vyoo, kampeni ya shule ni choo

    July 17, 2020
  • Newala Day yaweka mikakati wa kuondoa sifuri kidato cha nne na cha pili

    July 15, 2020
  • Tazama zote

Video

Mapokezi ya mwenge wa uhuru Halmashauri ya Mji Newala
Video nyingine

Kurasa za Haraka

  • Sanitation day
  • Tender
  • Uhuru torch

Kurasa Mashuhuri

  • Higher Education Students' Loans Board
  • National Examinations Council of Tanzania
  • Tanzania National Electoral Commission
  • PSPF Pension Fund
  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration and Local Government

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Newala-Mtwara

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 39

    Simu: (+255) 023 2935398

    Mobile: PS (0684439199)

    Barua pepe: info@newalatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Disclaimer
    • Sera ya Faragha
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya eneo la tukio
    • Huduma

Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa