Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Newala Mjini anawatangazia watendaji wa vituo waliochaguliwa kwa nafasi za wasimamizi wa vituo, wasimamizi wasaidizi wa vituo na makarani waongozaji wa vituo vya kupigia kura kuhudhuria mafunzo ya kazi hiyo yatakayofanyika kuanzia saa 1:00 Asubuhi kwa tarehe zifuatazo.
Tarehe 25 Octoba 2025- Makarani waongozaji wa Vituo vya kupigia kura katika Ukumbi wa Newala Sekondari
Tarehe 26-27 Octoba 2025- Wasimamizi wa Vituo na Wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura
Kuona majina na maelekezo mengine bonyeza maandishi ya bluu hapa chini.
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa