Afisa mwandikishaji wa jimbo la Newala Mjini anawataarifu walioomba nafasi ya Mwandikishaji Msaidizi na BVR Operator katika zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Mpiga kura kuwa, wanatakiwa kufika kwenye zoezi la usaili litakalo fanyika siku ya Ijumaa tarehe 10/01/2025 katika ukumbi wa shule ya sekondari Newala saa 3:00 Asububi.
Kuona majina ya waliochaguliwa bonyeza maandishi ya bluu hapo chini.
BVR MAJINA KUITWA KWENYE USAILI.pdf
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa