Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anawatangazia usaili Watanzania walioomba nafasi ya kazi ya ajira za mkataba za afisa Muuguzi II, Muuguzi msaidizi II, Tatibu, Tabibu msaidizi na Mteknolojia utakaofanyika kwenye ukumbi wa halmashauri siku ya Tarehe Jumatano 08/12/2021 Saa 2:00 Asubuhi. Majina ya walioitwa kwenye usaili na maelekezo bonyeza maandishi ya blue hapo chini
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa