Msimamizi wa uchaguzi jimbo la Newala Mjini anawatangazia waombaji wa nafasi za wasimamizi wa vituo vya kupigia kura na wasimamizi wasaidizi wa vituo vya kupigia kura pamoja na makarani waongozaji wapiga kura kuwa kutakuwa na usaili tarehe 06/10/2025 katika shule ya sekondari Nangwanda kuanzia saa 2:00 Asubuhi
kuyaona majina ya walioitwa kwenye usaili bonyeza maandishi ya bluu hapo chini
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa