Serikali ya Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania inatangaza nagasi za kazi za muda za makarani na wasimamaizi wa sensa mwaka 2022 kwa Watanzania wote wenye sifa na vigezo kama vilivyoainishwa kwenye Tangazo. Kusoma na kutambua bonyeza maandishi ya bluu hapo chini
Tangazo la Kazi za MUDA SENSA 2022.pdf
Kujaza Fomu ya maombi bonyeza hapa https://ajira.nbs.go.tz/application/create
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa