Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anapenda kuwatangazia waombaji wa kazi Kada ya Mtendaji wa Mtaa daraja la III iliyotangazwa tarehe 21/05/2022 (Nafasi 14) kuwa, wanatakiwa kufika kwenye usaili wa mchujo siku ya Alhamisi tarehe 30/06/2022
na usaili wa mahojiano utafanyika 1-2/7/2022 Usaili utafanyika katika shule ya Sekondari ya Kutwa Newala iliyopo kata ya Nangwala karibu na Kituo cha Redio Newala kuanzia saa 01:00 asubuhi. Wasailiwa wafike na
1. Vyeti halisi (original) 2. Kitambulisho cha NIDA
Orodha ya wanaotakiwa kufika kwenye usaili ni hii ifuatayo; bonyeza maandishi ya bluu
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa