Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anapenda kuwataarifu waombaji wa kazi ya udereva kuwa, usaili utafanyika tarehe 09/09/2025 hadi 10/09/2025, katika ukumbi wa halmashauri ya Mji Newala kuanzia saa 1:00 Asubuhi. Kujua majina ya waliotwa kwenye usaili na maelekezo mengine bonyeza maandishi ya bluu hapo chini.
call_for_interview_advert-2.pdf
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa