Afisa Mwandikishaji wa jimbo la Newala Mjini, anakaribisha maombi ya kazi kwa Watanzania wote wenye sifa kuomba kazi ya Waandishi wasaidizi na BVR Kit Operators kwa ajili ya uboreshaji wa taarifa za wapiga kura awamu ya pili kwenye daftari la kudumu la mpiga kura
kwa maelezo zaidi na kujua vigezo bonyeza maandishi ya blue hapo chini
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa