Afisa mwandikishaji wa jimbo la Newala Mjini katika ubereshaji daftari la mpiga kura anawataarifu waliochaguliwa kuwa waandikishaji wasaidizi na waendeshaji wa vifaa vya Bayometriki (BVR OPERATORS) kuwa mafunzo ya uwezeshaji yatafanyika tarehe 25-26/01/2025 katika ukumbi ya Shule ya Sekondari Nambunga. Bonyeza maandishi ya bluu hapo chini kuona majina ya walioitwa
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa