Mradi huu una lengo la kuboresha miundo mbinu ya umwagiliaji katika bonde la Mto Ruvuma.Katika bonde hili shughuli za kilimo zinaweza kufanyika katika kipindi chote cha mwaka, kwani hakitegemei mvua pekee bali umwagiliaji pia unaweza kufanyika. Hakika ni sehemu nzuri kuwekeza kwa shughuli za kilimo.
Bajeti ya mradi huu ni kama ifuatayo:
Fedha idhinishwa
|
Fedha tolewa
|
Fedha tumika
|
Salio
|
135,000,000
|
135,000,000
|
|
135,000,000
|
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa