Saturday 18th, January 2025
@Uwanja wa Sabasaba Newala
Mkuu wa Mkoa Mtwara Gelasius Byakanwa leo Jumamosi december 15, 2018 amewaongozi wananchi wa wilaya ya Newala kufanya mazoezi ya viungo na kuwataka waendelee kufanya mazoezi kila jumaosi ya wiki. "nawashukuru wananchi kwa kujitokeza kwa wingi ila mnatakiwa kufanya hivi kila inapofika jumamosi mazoezi ni muhimu sana kwa afya zetu".
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa