HATUA ZA KUFUATA
1.Hakikisha umesajiliwa kwenye mfumo (https://safari.gov.go.tz/index.php/user/auth/login)
Unaweza kusalijiwa kupitia afisa TEHAMA wa Halmashauri yako
2.Huisha akaunti yako ya Mfumo
Tumia akaunti yako ya barua pepe za serikali Ili kusajiliwa na uweze kuhuisha akauti yako mara baada ya hatua ya kwanza kukamilika
3.Ingia na chagua kiungo cha kibali cha Kusafiria
Upande wa kushoto mwaa mfumo kuna machaguo,chagua kiungo cha kibali cha kusafiria kisha chagua Omba kibali.
4.Jaza Fomu kwa kufuata hatua namba 1 mpaka namba 5 .
Mara baada ya kukamilisha ujazaji wa fomu kikamilifu ,bonyeza wasilisha kukamilisha maombi ya kibali
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa