TANGAZO KWA UMMA
Mkurugenzi wa Mji Newala amepokea barua ya kujiuzuru nafasi ya Udiwani toka kwa Ndg. Mussa Juma Makungwa aliyekuwa Diwani wa Kata ya Makonga kupitia Chama cha Wananchi (CUF) leo tarehe 01/03/2018.
Ndg. Mussa Juma Makungwa ametoa sababu ya kujiuzuru kuwa ni anajiunga na Chama cha Mapinduzi (CCM) kutokana na kuridhishwa na utendaji wa Serikali ya CCM chini ya Rais Dr. John Pombe Joseph Magufuli.
Aidha, taarifa nyingine kuhusu uwepo wa uchaguzi mdogo kuziba nafasi hiyo utatolewa pale maelekezo yatakapotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
George Mussa
Kitengo cha Habari na Mawasiliano
Halmashauri ya Mji Newala
S.L.P 39
NEWALA
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa