Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) leo January 24th, 2019 kupitia katibu mkuu wa baraza hilo, Dk Charles Msonde limetangaza matokeo ya kidato cha nne mwaka 2018, jijini Dodoma, ambapo amesema ufaulu umefikia asilimia 78.38 ukilinganisha na asilimia 77.09 mwaka 2017.
Aidha katika mtihani huo, watahiniwa 322, 965 sawa na asilimia 78.38 ya watahiniwa waliofanya mtihani huo wamefauli, wasichana wakiwa 163, 920 sawa na asilimia 77.58 wakati wavulana waliofaulu wakiwa 159, 045 sawa na asilimia 79.23.
Haya hapa matokea ya wanafunzi wa shule bonyeza maandishi ya blue hapo chini kufungua na kuona.
Link 1: FORM FOUR NATIONAL EXAMINATION RESULTS 2018/2019
Link 2: FORM FOUR NATIONAL EXAMINATION RESULTS 2018/2019
Haya hapa matokea ya watahiniwa binafsi bonyeza maandishi ya blue hapo chini kufungua na kuona.
Link 1: MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018
Link 2: MATOKEO YA MTIHANI WA MAARIFA (QT) 2018
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa