• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua pepe za Watumishi |
    • Malalamiko |
Newala Town Council
Newala Town Council

Jamuhuri ya Muungano ya Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Mji wa Newala

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati ya Halmashauri
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Vitengo
      • TEHAMA na Mahusiano ya Umma
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Uchaguzi
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Afya
      • Maji
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Mipango na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Msingi
      • Elimu Sekondari
      • Ardhi, Maliasili na Mipango Miji
      • Kazi
      • Usafi na Mazingira
  • Fursa za Uwekezaji
  • Huduma Zetu
    • Maji
    • Afya
    • Elimu
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
  • Miradi
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu za maombi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Hotuba
    • Habari
    • Matukio
    • Video
    • Maktaba ya picha

Mbunge wa Newala Mjini Mhe. George Mkuchika amekabidhi baiskeli saba za kubebea wagonjwa kutoka fedha za mfuko wa jimbo

Posted on: February 23rd, 2022

Mbunge wa jimbo la Newala mjini Mhe. George Mkuchika amekabidhi baiskeli 7 za kubebea wagonjwa zenye thamani ya shilingi milioni 4.13 fedha za mfuko wa jimbo, katika hospitali ya wilaya Newala na kituo cha afya Mkunya zilizopo halmashauri ya mji Newala.

Mhe. Mkuchika ambaye pia ni Waziri Ofisi ya Rais Kazi Maalum amekabidhi baiskeli hizo jana Jumanne februari 22, 2022 na akifafanua kuwa, fedha za mfuko jimbo zimelenga kwenda kusaidia wananchi katika kutatua changamoto ndogondogo zinazowakabili na awamu hii kamati imeamua kusaidia wagonjwa pamoja na wauguzi katika utendaji wao wa kazi.

Hata hivyo Mbunge huyo ameeleza kuwa yapo mafanikio makubwa yaliyopatikana kwenye sekta ya afya tangu ilipoanzishwa halmashauri ya mji Newala mwezi Julai 2015, kwa kujenga zahanati 11 pamoja na nyumba za waganga, kati hizo 9 zimejengwa kwa fedha za ndani na 2 kwa ufadhili ya Japan.

Aidha ameeleza kuwa serikali inawajali wananchi wake na ilishatoa fedha shilingi milioni 500 kujenga Kituo cha Afya Mkunya ambacho kilikamilika na tayari kinatoa huduma na sasa imetoa shilingi milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa majengo ya awali ya kituo cha Afya Nambunga na fedha zingine shilingi milioni 250 kwa ajili ya ujenzi wa kituo cha Afya Nanguruwe.

Akipokea baiskeli hizo Mwenyekiti wa halmashauri ya Mji Newala Mhe. Yusuph Kateule, amesema wananchi wa Newala mji wanamshukuru mbunge wao kwa jitihada zake za kuwaletea maendeleo na baiskeli hizo ni msaada mkubwa kwa kuwa wakati mwingine mazingira yakutolea huduma yalikua sio rafiki kwa mgonjwa na muuguzi.

Naye Mganga Mkuu wa halamshauri ya Mji Newala Dkt. Joseph Fwoma ameishukuru serikali kwa kuwapatia vifaa tiba vya kutosha na vya kisasa hasa katika kituo cha Afya Mkunya ambacho hivi karibuni imepokea vifaa hivyo kutoka wizara ya afya.

Katika mgawanyo wa baiskeli hizo hospitali ya wilaya ya Newala imepata baiskeli 4 na kituo cha Afya Mkunya kimepata baiskeli 3.


Matangazo

  • TANGAZO NAFASI YA AJIRA MTENDAJI WA KIJIJI January 25, 2023
  • KUITWA KWENYE USAILI MTENDAJI WA KIJIJI DARAJA LA III April 14, 2023
  • WITO WA MAFUNZO YA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA BVR OPERATORS JIMBO LA NEWALA January 21, 2025
  • WALIOCHAGULIWA KUWA WAANDIKISHAJI WASAIDIZI NA BVR OPERATORS JIMBO LA NEWALA MJINI January 14, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Bilioni 21.5 baji ya Mji Newala 2023/2024

    August 04, 2023
  • Tupo nanenane kutoa elimu kwa wananchi itakayobadilisha mitazamo yao kwenye kilimo.

    August 02, 2023
  • Serikali imesema wanawake na vijana wanaweza kukuza kilimo biashara na kuwa endelevu

    August 01, 2023
  • Mkuu wa mkoa Mtwara aridhishwa na utekelezaji wa miradi ya BOOST na ujenzi wa mabweni

    July 29, 2023
  • Tazama zote

Video

Video nyingine

Kurasa za Haraka

  • Sanitation day
  • Tender
  • Uhuru torch

Kurasa Mashuhuri

  • Higher Education Students' Loans Board
  • National Examinations Council of Tanzania
  • Tanzania National Electoral Commission
  • PSPF Pension Fund
  • Public Service Management
  • President's Office Regional Administration and Local Government

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Newala-Mtwara

    Anwani ya Posta: P.O.BOX 39

    Simu: (+255) 023 2935398

    Mobile: PS (0684439199)

    Barua pepe: info@newalatc.go.tz

Other Contacts

   

    • Disclaimer
    • Sera ya Faragha
    • Maswali ya Mara kwa Mara
    • Ramani ya eneo la tukio
    • Huduma

Haki miliki©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa