Posted on: March 23rd, 2023
Wananchi wa Halmshauri ya Mji Newala wamepewa angalizo la kujikinga na baa la njaa kufuatia uhaba wa mvua uliojitokeza mwaka huu pamoja na mafuriko yaliyowapata wananchi wanaofanya shughuli za kilimo ...
Posted on: March 20th, 2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala Bi. Shamim Mwariko amewataka wakuu wa idara na vitengo kuacha upendeleo wakati wakufanya mapendekezo ya wafanyakazi mahiri na kuachana na tabia ya kupeana zamu....
Posted on: March 11th, 2023
Mkuu wa Mkoa Mtwara Kanali Abbas Ahmad Abbas ameitaka jamii, wadau, mashirika na wasimamizi wa sheria wajikite katika kuweka mipango ya kuzuia ndoa za utotoni na matukio ya vitendo vya ukatili kwa wat...