Posted on: February 6th, 2020
Kaimu Afisa Sheria wa halmshauri ya mji Newala ndg. Reginald Mbonde ametoa mafunzo ya usimamizi wa sheria kwa Baraza jipya la ardhi kata ya mkunya na kuwataka kujiepusha na rushwa na upendeleo katika ...
Posted on: February 5th, 2020
Baraza la bajeti halmashauri ya mji Newala limeketi februari 3 na 4, 2020 na kupitisha rasimu ya bajeti ya mapato na matumizi ya shilingi bilioni 14.8 kwa mwaka wa fedha 2020/2021.
Kwenye rasimu hi...
Posted on: January 31st, 2020
Wananchi, watumishi wa umma, wadau wamaendeleo pamoja na Madiwani wa halmashauri ya mji Newala kwa pamoja wametakiwa kushikamana katika kusimamia na kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo inayoende...