Posted on: October 24th, 2019
Idara ya kilimo halmashauri ya mji Newala, leo Alhamisi tarehe 24/10/2019 imekutana na mawakala wa uuzaji Mbolea waliopo ndani halmashauri hiyo, kwenye kikao cha pamoja cha kupeana uelewa wa agizo la ...
Posted on: October 23rd, 2019
Kamati ya Lishe ya halmashauri ya mji Newala, imewataka wafanyabiashara wanaouza chunvi kuacha kusambaza chunvi isiyo na madini joto na kuwasisitiza kuwa kufanya hivyo ni kudumaza afya za watumiaji na...
Posted on: October 22nd, 2019
Halmashauri ya Mji Newala imeibuka kuwa kinara kwa kufaulisha wanafunzi walifanya mtihani wa matokeo ya darasa la 7 mwaka 2019 mkoani Mtwara, katika matokeo yalitangazwa hivi karibuni tarehe 15/10/201...