Posted on: April 29th, 2020
Mkurungenzi wa halmashauri ya Mji Newala ndg. Andrew Mgaya amewaomba madiwani wa halamsahauri hiyo kutoa uelewa kwa wananchi juu ya umuhimu wa kuendelea kuchangia miradi ya maendeleo katika maeneo yao...
Posted on: April 14th, 2020
Kamati ya Lishe ya halmashauri ya mji Newala imeweka mkakati wa kuwafikia wananchi katika maeneo na kuwapa elimu ya lishe ili kukabailiana na tatizo la udumavu kwa watoto wa chini ya miaka mitano hali...
Posted on: March 25th, 2020
Mbunge wa jimbo la Newala Mjini Kapt. Mstahafu Mhe. George Mkuchika leo Jumatano Machi 25, 2020 amekabidhi msaada wa kompyuta 5 na printa 1 vyenye thamani ya shilingi milioni 13.3 katika shule ya seko...