Posted on: December 14th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Gelasius Gaspar Byakanwa, leo Ijumaa December 14, 2018 ametoa pongezi kwa halmashauri ya Mji Newala, kwa kushika nafasi ya kwanza kimkoa katika ufaulu wa wananfunzi wa dar...
Posted on: December 7th, 2018
Mkurugenzi wa halmashauri ya Mji Newala mkoani Mtwara Andrew Mgaya, amesema halmashauri yake imeweka mikakati ya kuongeza mapato yake ya ndani kwa kuanzisha vyanzo vipya ya ukusanyaji.
...
Posted on: November 29th, 2018
Maafisa ushirika na makatibu wote wa vyama vya wakulima(AMCOS) wilayani Newala Mkoani Mtwara, wametakiwa kuangana na kwenda kusimamia zoezi la uhakiki wa majina ya akaunti za wakulima waliouza korosho...