Posted on: November 29th, 2018
Idara ya Maendeleo ya Jamii ya Halmashauri ya Mji Newala Mkoani Mtwara, leo Novembe 29, 2018 imeanza kutoa mafunzo ya awali kwa vikundi 27 vya maendeleo, vinavyotarajia kupata mkopo wa shilingi 80,500...
Posted on: November 27th, 2018
Kamati ya Mfuko wa Jimbo ya hamashauri ya Mji Newala mkoani Mtwara, jana Novemba 26, 2018 imefanya kikao cha kupokea na kuchambua maombi ya miradi ya jamiipamoja ana kuidhinisha Shilingi 33,600,000/= ...
Posted on: November 24th, 2018
Mkuu wa wilaya ya Newala Mhe. Aziza Mangosongo leo Novemba 24,2018 amefungua Maazimisho ya miaka 20 ya shirika lisilo la kiserikali la Action Aid na kuwataka kuendeleza ushirikiano na jamii pamoja na ...