Posted on: March 31st, 2023
Wananchi wa Halmshauri ya Mji Newala wametakiwa kuchukua tahadhari za kujikinga na maambukizi ya magonjwa ya mlipuko kufuatia kuenea kwa ugonjwa wa kichocho katika vijiji vya kata ya Mcholi I, Mcholi ...
Posted on: March 23rd, 2023
Wananchi wa Halmshauri ya Mji Newala wamepewa angalizo la kujikinga na baa la njaa kufuatia uhaba wa mvua uliojitokeza mwaka huu pamoja na mafuriko yaliyowapata wananchi wanaofanya shughuli za kilimo ...
Posted on: March 20th, 2023
Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala Bi. Shamim Mwariko amewataka wakuu wa idara na vitengo kuacha upendeleo wakati wakufanya mapendekezo ya wafanyakazi mahiri na kuachana na tabia ya kupeana zamu....