Ujenzi umefikia hatua ya upandishwaji boma 17-11-2021
Umwagaji wa zege lenta, na uwekwaji wa fremu za madirisha umekamilika 25/11/2021
Hatua ya kupiga plasta inaendelea 28/11/2021
Kupiga plasta 29/11/2021
Upauaji na uchapaji unaendelea 04/12/2021