Zege jamvi limekamilika 19/11/2021
Maandalizi ya kumwaga ring beam 25/11/2021
maandalizi ya kupaua 28/11/2021
kupiga plasta na kuandaa mabo kwa ajili ya kupaua 29/11/2021
kupiga plasta na kuanza kupaua 29/11/2021
Upauaji unaendelea 30/11/2021