Kujenga Msingi, 04/11/2021
Ujazwaji mawe umekamilika kwa ajili ya maandalizi ya zege jamvi 10/11/2021
Umwagaji zege jamvi umekamilika 14/11/2021
Ujenzi wa Boma umeanza 18/11/2021
Ujenzi wa Boma Unaendelea 22/11/2021
Ujenzi umefikia hatua ya Lenta 23/11/2021
Zege ya lenta imekamilka na ujenzi unaendelea 24/11/2021
Hatua ya upauaji inaendelea 28/11/2021
Nondo za madirisha zimekamilika, upauaji na uchapaji ukuta unaendelea 30/11/2021
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa