Wananchi wakishiriki katika kusafisha eneo na kuchimba Msingi 08/11/2021
Wananchi wa kata ya Nanguruwe wakishiriki ktk zoezi la kujaza kifusi 12/11/2021
KUU wilaya Newala katika Ukaguzi wa Mradi 13/11/2021
Kumwaga zege jamvi kumekamilka 18/11/2021
Ujenzi wa Boma umeanza 20/11/2021
Kumwaga ring beam 25/11/2021
Kupiga plasta,njia za umeme, pamoja na kuunganisha mbao za Kupaua 29/11/2021
Kazi ya kupiga plasta ikiendelea 29/11/2021
Uwekwaji nondo za madirisha, upauaji umeanza 30/11/2021
Upauaji na uchapaji unaendelea 03/12/2021
Upauaji na uchapaji unaendelea 04/12/2021
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa