Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anapenda kuwataarifu waliochaguliwa kufanya usaili kwenye nafasi ya walioomba kazi ya Mtendaji wa Kijiji III kuwa usahili huo utafanyika tarehe 30.03.2020, majina na maekezo bonyeza maandishi ya bluu hapo chini
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa