Mkurugenzi wa Halmashauri ya Mji Newala anapenda kuwatangazia waombaji wa nafasi ya Katibu Mahsusi iliyotangazwa tarehe 09/10/2019 kuwa usahili utafanyika tarehe 15/11/2019 4:00 Asubuhi katika ukumbi wa mikutano wa halmashauri hiyo.
Kupata Orodha ya wanaotakiwa kufika angalia hapa chini
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa