Ujenzi wa vyumba viwili vya Madarasa Shule ya Msingi Chitandi
Ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa na ofisi ya walimu. Ujenzi unaendelea ambapo chumba kimoja cha darasa na ofisi imeshaezekwa. Mradi huu unafadhiliwa na kusimamiwa na Halmashauri ya Mji Newala. Lengo ni kukamilisha ujenzi huu ifikapo mwezi June 2017.
Bajeti ya mradi huu ni kama ifuatayo:
Fedha idhinishwa
|
Fedha tolewa
|
Fedha tumika
|
Salio
|
20,000,000
|
7,000,000
|
2,168,000
|
4,832,000
|
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa