Saturday 18th, January 2025
@HALMASHAURI YA MJI NEWALA
Afisa Elimu Msingi Mohamedi mwende akipokea pikipiki 16 kwa ajili ya waratibu Elimu Tata 16 za Halmashauri ya Mji Newala. kupitia Pikipiki hizi zitawarahisishia waratibu hawa katika kusimamia zoezi zima elimu katia Halmashauri ya Mji Newala. Pongezi kwa Serikali ya hawamu ya tano chini ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Joseph Magufuli. Dr Magufuli bado anasimamia kauli mbio yake ya HAPA KAZi Tu!!!!!!
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa