Skimu ya umwagiliaji Chikwedu Chipamanda. Skimu hii ipo katika bonde la Mto Ruvuma ambapo shughuli za kilimo zinafanyika kipindi chote cha mwaka. Hii ni kutokana na kutotegemea mvua pekee badala yake kwa kipindi cha kiangazi kilimo cha umwagiliaji kinatumika. Kilimo cha aina hii kinaweza kukuza kipato cha wakulima wa eneo husika endapo wanalima kwa lengo la biashara. Pia tatizo la njaa kwao hutoweka kwa kuwa chakula kinakuwa kinapatikana wakati wote.
Hakika ni sehemu nzuri kuwekeza kwani wakati wote huwa panazalisha ukuzingatia sehemu kubwa ya uchumi wa Watanzania unategemea kilimo.
Newala-Mtwara
Anwani ya Posta: P.O.BOX 39
Simu: (+255) 023 2935398
Mobile: PS (0684439199)
Barua pepe: info@newalatc.go.tz
Haki milikiĀ©2017 NTC. Masharti yote yanazingatiwa