Posted on: August 20th, 2025
Mkuu wa Wilaya Newala Mhe. Mwangi Kundya amewataka wataalam wa mausala ya kilimo na fedha kuwaelimisha wakulima juu ya utunzaji na matumizi bora ya fedha wanazozipata baada ya kuuza mazao yao.
Mhe....
Posted on: August 19th, 2025
Taasisi na vitengo vinavyosimamia usafi wa mazingira halamshauri ya Mji Newala, zimetakiwa kushirikiana kutoa elimu wa uhifadhi mazingira na utunzaji wa miundo mbinu ya barabara kwa wananchi.
Agizo...
Posted on: August 16th, 2025
Ili kuwa na ufanisi wa zoezi la utambuzi na chanjo ya Ng’ombe, Mbuzi na Kondoo, maafisa mifugo wa halamshauri ya Mji Newala wametakiwa kwenda kuwa elimisha wafugaji juu ya umuhimu wa zoezi hilo pamoja...