Posted on: March 30th, 2022
Jamii, wadau pamoja na Idara ya elimu Halmashauri ya Mji Newala, kwa pamoja wametakiwa kuchukua hatua za makusdi za kuongeza ufaulu ili kurejea katika nafasi yake.
Agizo hilo limetolewa leo Jumanne...
Posted on: March 4th, 2022
Wanawake wametakiwa kudai na kuzifikia haki zao kwa njia sahihi huku wakijiamini katika utendaji wao na kuachana na dhana pamoja na mitazamo ya kupewa kipaumbele kutokana na jinsi yao.
Hayo yameele...
Posted on: February 23rd, 2022
Mbunge wa jimbo la Newala mjini Mhe. George Mkuchika amekabidhi baiskeli 7 za kubebea wagonjwa zenye thamani ya shilingi milioni 4.13 fedha za mfuko wa jimbo, katika hospitali ya wilaya Newala na kitu...