Posted on: June 4th, 2020
Baraza la Madiwani la halmashauri ya mji Newala jana June 03, 2020 limefikia okomo wake wa kiutendaji baada ya kuhairisha shughuli zake baada ya kuwatumikia wananchi waliowachagua kwa miaka mitano.
...
Posted on: June 3rd, 2020
Ofisi ya Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) imeipongeza na kuipatia hati safi halmashauri ya mji Newala kwa usimamizi nzuri wa fedha za serikali na kutekeleza kikamilifu miradi ya maendeleo kwa ...
Posted on: May 26th, 2020
Halmashauri ya mji Newala leo Jumanne Mei 26, 2020 imepokea vitambulisho vya wajasiriamali 1200 kwa ajili ya kuanza kuwauzia wajawasiriamali wadogo huku wasimamizi wa zoezi hilo wakitakiwa kujiepusha ...