Posted on: May 18th, 2022
Mkuu wa wilaya ya Newala Mhe. Mwangi Rajabu Kundya Jumatano Mei 18, 2022 amezindua zoezi la ugawaji wa hati miliki za kimila 1659 wilayani humo kwa wananchi wa vijiji vya Chilangala, Mitema na Mkulung...
Posted on: April 26th, 2022
Watanzania wametakiwa kuuheshimu na kuunga mkono muungano wa Tanganyika na Zanzibar kwa kuwa mataifa yenye nguvu duniani ni yale yaliyounganisha nchi mbalimbali.
Wito huo umetolewa leo Jumanne Apil...
Posted on: April 7th, 2022
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia Marco Gaguti ametoa zawadi zenye thamani ya shilingi milioni 120 yakiwemo magari, pikipiki, baiskeli, vyeti na fedha taslimu kwa wadau wa elimu waliofanya vizuri kwa mw...