Posted on: March 11th, 2019
Watumishi wa serikali nchini wametakiwa kuwajibika ipasavyo katika nafasi zao, ili kurahisha kufikia malengo tarajiwa na kutengeneza uhusiano nzuri baina ya wananchi na serikali.
Wito huo umetolewa...
Posted on: March 8th, 2019
Serikali wilayani Newala imesema itaendelea kuunga mkono jitihada za kumkomboa mwanamke kwa kutekeleza sera ya wanawake na jinsia ya mwaka 2000 inayolenga uwepo wa usawa kwa wanawake na wanaume katika...
Posted on: February 15th, 2019
Baraza la Madiwani la halmashauri ya Mji Newala jana 14 February, 2019 limeidhinisha rasimu ya bajeti ya maendeleo ya mapato na matumizi kwa mwaka 2019-2020 yenye thamani ya shilingi bilioni ...