Posted on: December 7th, 2018
Mkurugenzi wa halmashauri ya Mji Newala mkoani Mtwara Andrew Mgaya, amesema halmashauri yake imeweka mikakati ya kuongeza mapato yake ya ndani kwa kuanzisha vyanzo vipya ya ukusanyaji.
...
Posted on: November 29th, 2018
Maafisa ushirika na makatibu wote wa vyama vya wakulima(AMCOS) wilayani Newala Mkoani Mtwara, wametakiwa kuangana na kwenda kusimamia zoezi la uhakiki wa majina ya akaunti za wakulima waliouza korosho...
Posted on: November 29th, 2018
Idara ya Maendeleo ya Jamii ya Halmashauri ya Mji Newala Mkoani Mtwara, leo Novembe 29, 2018 imeanza kutoa mafunzo ya awali kwa vikundi 27 vya maendeleo, vinavyotarajia kupata mkopo wa shilingi 80,500...