Posted on: March 23rd, 2020
Halmashauri ya Mji Newala imetoa pongezi kwa shule za msingi na sekondari zilizofanya vizuri kwenye matokeo ya darasa la saba, kidato cha nne na cha sita mwaka 2019, kwa kuzikabidhi vyeti vya ubora na...
Posted on: February 24th, 2020
Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini Mhe. George Huruma Mkuchika amevitaka Vikundi vya ujasiriamali vya walemavu kujitokeza kuomba mikopo ya vijana, wanawake na walemavu inayotolewa na serikali kupitia hal...
Posted on: February 21st, 2020
Vikundi vya vijana wajasiriamali vilivyopewa mkopo na halmashauri ya mji Newala vimeonywa juu ya kutorejesha mikopo waliyopewa kwa kuwa mikopo hiyo ni lazima irejeshwe na inufaishe wengine kama lengo ...