Posted on: November 27th, 2019
Mwenyeviti na wajumbe wa serikali za mitaa wa halmashauri ya Mji Newala, walioshinda kwenye uchaguzi uliofanyika Novemba 24, mwaka huu, leo wameapishwa tayari kwenda kutekeleza majukumu yao ya kuwatum...
Posted on: October 24th, 2019
Idara ya kilimo halmashauri ya mji Newala, leo Alhamisi tarehe 24/10/2019 imekutana na mawakala wa uuzaji Mbolea waliopo ndani halmashauri hiyo, kwenye kikao cha pamoja cha kupeana uelewa wa agizo la ...
Posted on: October 23rd, 2019
Kamati ya Lishe ya halmashauri ya mji Newala, imewataka wafanyabiashara wanaouza chunvi kuacha kusambaza chunvi isiyo na madini joto na kuwasisitiza kuwa kufanya hivyo ni kudumaza afya za watumiaji na...