Posted on: December 12th, 2021
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brigedia Jenerali Marco Gaguti leo Ijumaa 12 Disemba, 2021 amepokea madarasa ya 19 ya shule za sekondari halmashauri ya mji Newala, yenye thamani ya shilingi milioni 380 yaliyoj...
Posted on: December 9th, 2021
Katika kuadhimisha miaka 60 ya Uhuru Tanzania, Serikali imedhamiria kupambana kikamilifu na ujinga , maradhi pamoja na umasikini kwa kuwekeza kwenye sekta ya elimu kuanzia awali mpaka chuo kikuu ili k...
Posted on: December 4th, 2021
Hospitali ya wilaya Newala iliyo chini ya Halmashauri ya Mji Newala imepokea msaada shuka za wagonjwa 100 kama msaada kutoka taasisi inayojishughulisha na uuzaji dawa za binadamu ya Mkuti Phamac...