Posted on: March 1st, 2023
Mkuu wa Wilaya Newala Alhaj Mwangi Rajabu Kundya amewataka maafisa ugani kuwa mfano wa wakulima kwa kuwa mstari mbele katika kuhamasisha shughuli za kilimo vijijini na kuacha tabia ya kukaa ofisini.
...
Posted on: August 30th, 2022
Viongozi wa dini wa Halmashauri ya Mji Newala wametakiwa kuwa chachu ya mabadiliko ya kukomesha ukatili katika jamii na kusaidia malezi bora ya watoto ambao sasa wapo hatarini kutokana na kukithiri kw...
Posted on: July 29th, 2022
Mganga Mkuu wa Halamshauri ya Mji Newala Dkt. Joseph Fwoma amesema jumla ya wananchi 558 wa Halmashauri ya mji Newala wamejitokeza kupatiwa chanjo ya UVIKO-19 katika tamasha la kampeni ya ...