Posted on: December 4th, 2021
Hospitali ya wilaya Newala iliyo chini ya Halmashauri ya Mji Newala imepokea msaada shuka za wagonjwa 100 kama msaada kutoka taasisi inayojishughulisha na uuzaji dawa za binadamu ya Mkuti Phamac...
Posted on: December 4th, 2021
Mbunge wa Jimbo la Newala Mjini Mhe. George Mkuchika amesema mshikamano wa wapamoja katika uongozi ndio unaoifanya halmashauri ya mji Newala kuwa halmashauri bora inayoongoza kwa utekelezaji wa ...
Posted on: December 3rd, 2021
Wananchi wa jimbo la Newala mjini wametakiwa kutambua kuwa serikali imeadhamiria kuleta maendeleo ya kweli hivyo wananchi wajitoe kikamilifu wakati wa utekeleza miradi ya maendeleo.
Hayo yameelezwa...